Features Nyimbo Za Wokovu
Tunawashukuru ndugu waliotoa idhini ya kutumia baadhi ya nyimbo katika vitabu vifuatavyo: NYIMBO STANDARD, kitabu cha Church of Province of Tanzania na Church of Province of Kenya, Na: 29, 324, 325, 326, 327, 328, 329.NYIMBO ZA SIFA, kitabu cha Inland Publishers, Na: 9, 12, 37, 41, 104, 242, 264, 266, 272, 279, 300, 301,302, 330, 331, 332, 333, 334.NYIMBO ZA KIKRISTO (Kwa sasa TUMWABUDUMUNGU).
Kitabu cha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Na: 77, 239, 248, 317.NYIMBO ZA INJILI, kitabucha Pentecostal Assemblies of East Africa, Na: 304, 323, 335.TENZI ZA ROHONI, kitabu cha Tanzania Mennonite Church, Na: 182 na 287.Kamati ya Maandiko,Kituo cha Maandiko Habari Maalum (KIMAHAMA).S.L.P.
14140, Arusha, Tanzania.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Nyimbo Za Wokovu in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above